News Letter

Find what's going on with us

JARIDA LA NUFAISHA

Nufaisha ni Jarida linaloelezea shughuli mbalimbali za kijamii zilizotekelezwa na STEPS Tanzania zikilenga nyanza za Afya, Elimu na Uchumi wa Jamii. Jarida hili hutolewa  kila baada ya miezi sita. Hivi sasa Jarida hili linaendelea kuandaliwa. Usikae mbali na vyombo vyetu vya habari ili kupata jarida hili. Karibu