News

Find what's going on with us

STEPS Tanzania yatoa Mrejesho wa Utekelezaji wa Mradi wa WAJIBIKA.

Steps Tanzania Wakitoa mrejesho kwa Kamati ya Afya ya Mkoa(RHMT)-Pwani Juu ya Mwenendo Mzima wa utekelezaji wa Mradi wa WAJIBIKA - CLM.

 

Mradi wa WAJIBIKA -CLM umetekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe katika Vituo vya Afya vya Masaki, Msanga, Mzenga na Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe kuanzia May 2021 - May 2022.

 

Mradi wa WAJIBIKA-CLM umetekelezwa kwa ufadhili wa PEPFAR Tanzania chini ya Mfuko wa Balozi wa Marekani wa Kukabiliana na VVU/UKIMWI #usaidtanzania #usembassy tanzania #pepfartanzania

kikao hicho cha mrejesho kimefanyika katika Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa (RMO) iliyopo Halmashauri ya Wilaya Kibaha Mkoa wa Pwani.

 

Uongozi wa Steps unatoa shukrani kwa Kamati ya Afya vya Mkoa wa Pwani kwa ushirikiano walioutoa tangu kuanza kwa utekelezaji wa Mradi Huu wa WAJIBIKA.